Nahitaji mwanasheria

nnahitaji mtu wa kuniwakilisha kisheria mimi, kampuni na familia huyo anatakiwa mwanasheria au wakili?
 
nnahitaji mtu wa kuniwakilisha kisheria mimi, kampuni na familia huyo anatakiwa mwanasheria au wakili?

Wakili wa kujitegemea kama Nimrod Mkono, Mabele Marando, Tundu Lissu e.t.c
 
Jamaa sidhan kama yupo Serious. Hayupo Specific. Ni kama hajui anachohitaji.

Mie naona kama anajifunza kuanzisha thread maana kama ni wanasheria nahisi kila mkoa wapo kibao ni chaguo lako
 
Unahitaji CV ili kujua uzoefu wake kwenye mashauri au ndio mbwembwe zako Mr.boss?

Unapotaka ku-hire mwanasheria unapaswa kutaja wazi eneo la tatizo lako kwa mfano commercial,family,land,employment n.k halafu yeye atajua expertise yake...CV haitakusaidia kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…