Nahitaji mwanamke jamani

damuu250

Member
Apr 8, 2014
25
4
Miaka 25,
Binti wa kiislam
Maji ya kunde
Urefu 5.5
Elimu -digrii
Mjasiriamal
Baada ya kupitia nilitopitia katika mahusiano sasa nahitaji nusra kutoka kwa kijana wa kiislam anaeijua dini,

Umri wake uwe kuanzia miaka 29-35,

Awe na shughuli maalumu.

Sifa za kutafuta mchumba bora kwa imani ya kiislam zitazingatiwa.

Email: damuu250@gmail.com
 
kijana wa kiislamu anayeijuwa dini huwezi kumpata kwa sababu hamuruhusiwi kutumia internet.
 
kijana wa kiislamu anayeijuwa dini huwezi kumpata kwa sababu hamuruhusiwi kutumia internet.

Duh nimeishia kucheka hapa mpaka raia wananishangaa....!imebidi hata kutoa neno kwa swahiba anaetafuta nusra nimeshindwa ila Mungu aampe subira.
 

Ungeweka no. ya simu ili tuweze kuku nusuru vizuri, maana hizi email isku hizi mim nogopa isisjekua kama yule wa Senegal
 

acha uongo, mwislamu miaka 33 awe hajaoa? labda utueleze ulioa na kuwapa talaka wangapi ndio tukuelewe.
 
Mmmmh hapa mnajuana wenyewe ila miaka 25 hujaolewa ulikuwa wafanya nini muda huo wote?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…