Nahitaji Mwalimu wa kike wa kufundisha primary. Shule ni Islamic English Medium iko Dar es salaam. Awe na elimu ya Diploma ya ualimu. Napendelea awe Muislamu, nafasi ni mbili tu.
Akiwa ni wa maeneo ya Ukonga, Banana, Gongo la Mboto itapendeza zaidi.
Kwa maelekezo nitafute kupitia 0683 992 623