Unavozitaja hzo academic qualifications sasa mmmmhhh,,,, mtachelewa sana.....!!
Nawashauri wa dada point kubwa kwa mnaowataka ni hzo zote ulizozitaja but toeni ya " degree,master, dr, diploma, certificate etc but sisitizen hapo kweny AMAJIAJIRI AU AMEAJIRIWA.
Mana hapo ndipo zipo lala chemichemi za uzima wa maisha yenu.
Elimu ya bongo tunaklemu tu na kufaulu maisha yanaenda ndo mana wengi hatufeli lkn tukija mtaani watu wanakua na maubongo mazito kama uji wa mgonjwa.
Niliomaliza nao chuo miaka kadhaa nyuma...ni saba tu wamepata ajira.wengine wote kama 77 tupo mtaani tena wa hyo degree unayoitaka.......
Safi sana nimekupendea vipengele kadhaa hapo kwenye vigezo unavyo vihitaji ila hicho cha elimu kime nibamba zaidi 'Elimu Muhimu sana Mama' ukiona mtu anaponda ujue hana vigezo. Hongera bwana'ko sahihi anakuja madam