Nahitaji mume wakuishi nae..

Tanzania ni kubwa, sema unaishi wapi exactly.
 
Aisee, yaani una sound kwamba umechoka kukaa bila mume kwa mda mrefu. Mungu atakusaidia
 
Maisha hayako fair Kwenye hii Dunia.
Inabidi tuwaambie wahubiri injili waanze kuhubiri ndoa za mke zaidi ya mmoja Maana Hali ishakuwa ngumu kimtaa.
Kila mtu anataka mume wa kwake peke yake na wao wako wengi zaidi.
Tutafuteni na sie tunaotaka kuoa mke wa pili basi.
 
Njoo nikuongeze nna watoto wawili na mke kwa kuonyesha kuwa ww ni muwazi nitakuongeza make wa pili na mwanao ntalea njoo inbobo tuendelee na mipango mingine
 

Litakuwaje tatizo wakati na wewe una mtoto.
Anyways, Mwenyezi Mungu akujalia upate hitaji la moyo wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…