Tako sinaMimi ningekufaa maana ni single dad Ila watoto mama yao alininyang'anya Ila Sasa unielekeze vizuri unaposema uko vizuri kiuchumi unamaanisha nini ?
Mimi mwenzio napenda nikuzudi hela sio wewe unizidi utanitesa sana ,fanya hivi dondoka PM yangu Ila uje na umri wa ukweli na chanzo Cha mapato yako pasina kusahau ,ukweli kuhusu hali ya muundo wako wa mwili hasa nyuma .
Pamoja sana mwanangu.Tako sina
Mtaani mnawaogopaInakuaje watu wanakuja kutafuta wapenzi humu
Na tunawaogopa kweli, maana ukipewa namba leo kesho kodi inaisha mwaisaMtaani mnawaogopa