Go Millets Member Joined Jul 20, 2021 Posts 5 Reaction score 2 Jul 20, 2021 #1 Ninahitaji mtu kwa ajili ya Marketing na Sales kwa Arusha. Sifa; Diploma au Certficate ya Marketing Awe na uzoefu kwenye Sales and Marketing kwa kipindi cha mwaka mmoja hasa kwenye Bevarage Industry. Awe ana ijua vyema jiji la Arusha na Wilaya za jirani. Anaye weza fanya kazi bila kusimamiwa. Awe anajua kutumia mitandao ya Facebook na Instragram. Kama una mtu ana sifa hizo tafadhali mwambia aombe hasa kama anaishi Arusha. Mshahara ni makubaliano ya mwajiri na mwajiriwa. Email: gomilletss@gmail.com Mwisho wa kutuma maombi ni 31 August 2021.
Ninahitaji mtu kwa ajili ya Marketing na Sales kwa Arusha. Sifa; Diploma au Certficate ya Marketing Awe na uzoefu kwenye Sales and Marketing kwa kipindi cha mwaka mmoja hasa kwenye Bevarage Industry. Awe ana ijua vyema jiji la Arusha na Wilaya za jirani. Anaye weza fanya kazi bila kusimamiwa. Awe anajua kutumia mitandao ya Facebook na Instragram. Kama una mtu ana sifa hizo tafadhali mwambia aombe hasa kama anaishi Arusha. Mshahara ni makubaliano ya mwajiri na mwajiriwa. Email: gomilletss@gmail.com Mwisho wa kutuma maombi ni 31 August 2021.
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,623 Jul 20, 2021 #2 Drinking Industry = Beverages
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,880 Reaction score 14,747 Jul 21, 2021 #3 Beverage
Go Millets Member Joined Jul 20, 2021 Posts 5 Reaction score 2 Jul 21, 2021 Thread starter #4 Haswa mkuu
Go Millets Member Joined Jul 20, 2021 Posts 5 Reaction score 2 Jul 21, 2021 Thread starter #5 Yes mkuu
MURUSI JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 4,575 Reaction score 8,911 Jul 24, 2021 #7 Ngoja niombe hii
Tujisahihishe Tz Platinum Member Joined Nov 17, 2011 Posts 3,061 Reaction score 1,367 Jul 24, 2021 #8 Tusio na diploma tukae tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,124 Reaction score 196,870 Jul 24, 2021 #9 Kila la kheri, ngoja waje...