Weka sifa hapahapa maana ni muhimu kujua aina ya nyumba. Binafsi nitakuwa Arusha kwa kazi ya Miezi 9 hivyo natafuta nyumba.
Mimi nimeoa ila nitakuja huko bila mke maana familia inakaa kwingine. Wife atakuwa wanakuja angalau Mara 1 kwa mwezi. Kama nitakufaa tafadhali weka sifa za nyumba hapa.
Mimi ni mwanaume nahitaji mtu wa kushea nyumba sanawari.
sifa; Awe hajaoa wala kuolewa (single) na uwezo la kuchangia rent 150000 kwa mwezi.
Sifa za nyumba nitampa mtu.
Nyumba yenyewe iz a self contener house
bed room mbili, Sitting room, Jiko na choo (vya kushea)
Ni nzuri kwa mabachelor
Mimi mwenyewe nipo Married ila wife yupo mkoa mwingine hivyo mara nyingi mimi husafiri na kuweka kufuli