deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Hapana bro nataka router ndio igawe IP (ifanye routing) ila Desktop PC ndio igawe internetMkuu naona unataka hyo dektop PC ifanye kazi ya Routing, Router ina Internet port, ndo kazi yake hyo.
KinondoniMkuu unapatikana wapi?
Kugawa IP Addresses na kufanya Routing ni vitu viwili tofauti. DHCP server ndo inagawa IP Addresses. Kwa small network Router inaweza kufanya kazi mbili kama DHCP server na Routing pia.Hapana bro nataka router ndio igawe IP (ifanye routing) ila Desktop PC ndio igawe internet
Nia na madhumuni ilikuwa hivyo ila router yangu ni ya zamani na port yake ya internet ni RJ11 na mimi source yangu ni RJ45.Kugawa IP Addresses na kufanya Routing ni vitu viwili tofauti. DHCP server ndo inagawa IP Addresses. Kwa small network Router inaweza kufanya kazi mbili kama DHCP server na Routing pia.
Routing ni kitendo cha kudirect data packets katika networks tofauti, kwa picha yako naweza kusema hizo networks ni LAN na internet.
Kwa hyo badilisha mchoro, connection kutoka kutoka kwa ISP iende kwenye Router. DNS sever na Active Directory ziunganishwe kwenye switch.
Inawezekana, kwenye dhcp setting, gateway na DNS zinakua ni IP ya hiyo PC ambayo ndio Internet sourceHapana bro nataka router ndio igawe IP (ifanye routing) ila Desktop PC ndio igawe internet
Thanks brother, ngoja nikafanye hivyoInawezekana, kwenye dhcp setting, gateway na DNS zinakua ni IP ya hiyo PC ambayo ndio Internet source
Sasa clients requests zinakua zinapita kwenye router lakini zinapelekwa kwenye PC
Wacha maneno weka muzikiNilijua bonge la Deal nianze kuandaa Quotation tupige kazi kumbe family matters comedy!
Darasa kakushika Mkuu.... Ila katoa tungo nzuriWacha maneno weka muziki