Nahitaji Msichana wa kazi

Nahitaji Msichana wa kazi

Rashnasa

New Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
1
Reaction score
3
Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa Awe mtu mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi naishi na mke na watoto wawili.

Awe anaishi mkoa wa Morogoro.

Mshahara Maelewano

Mawasiliano: 0623 969 462 au PM

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom