Nahitaji Mshauri uwekezaji kwenye fursa ya ushonaji

baunsamuoga

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
1,100
Reaction score
1,128
Mimi ni mkulima mdogo kutoka mkoa X, nimechungulia pia kwenye fursa ya ushonaji, kudalizi pamoja na kudizain nikiwa na lengo la kufanya uwekezaji mdogo kupata kiwanda kidogo (small garments) ambapo nitajikita kwa vijana zaidi ili kuwainua kwa fani hiyo.

Dhima yangu ninaomba nipate mtu mwenye uelewa mpana kuhusiana na fani hiyo akiwa amejikita kwenye fani hiyo bila ubabaishaji.

Kwa yeyote mwenye uelewa naomba aniunge mkono nitapokea ushauri kadili ya maoni na mitazamo yenu. Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…