Aiseee una tatzo kama langu mkuu....ila wewe umenizidi kidogo...mm zaidi kwa wanawake...tangu nitendwe siwezi tena kuinteract nao kivile...hata nipate dem anijali vipi awe mzuri vipi mwisho wa siku ntamzingua na atanambia nna hasira sana au sifai kuwa mume e.t.c na atanikimbia tu! Wakati huko nyuma haikuwa hvo hadi baadhi ya Ex-s wang akiwemo huyo alonirarua moyo huwa wananiona bonge la mwanaume...like wanataman kurudi...ila nkitest tu inaishia pabaya!!!
Ngoja twende pamoja kwenye huu uzi wako namm labda naweza pata dawa kutoka kwa wadau