Labda ana maana yake kuuliza hayo maswali, wewe unamjia juuNahitaji wenye ujuzi na ayo masuala sio wakuniuliza maswal ambayo hayaelewek,ndio nina mchumba sio demu,and yes to the nxt question
nimefaham vzr kabisa what was his next question,I need something hard not jst some gueses,,,trust me walengwa watapatikana...keep watchingLabda ana maana yake kuuliza hayo maswali, wewe unamjia juu
Kama ungekuwa unahitaji wenye ujuzi, ungeenda kwa psychologist sasa, husingeandika uzi
Ukiwa na shida , jishushe Ili watu wakusaidie.Nahitaji wenye ujuzi na ayo masuala sio wakuniuliza maswal ambayo hayaelewek,ndio nina mchumba sio demu,and yes to the nxt question
ooops...that's bad coz nashindwa ku keep up with my friends ambao kimsing kuna siku ntawahitajKaka hiyo hali ilinipata lakini tofauti ni kuwa sina trust na mwanamke..,sina huruma.
Nilichofanya ni kuacha kuwaza sana yaliyotokea .. na kuwekeza sana kujichanganya na marafiki..
Kuweka mind yangu kwenye kazi..
Lakin ukweli ni kuwa you will never be the same
Hili boya halijielewi ndo mana anasema hawezi ku-keep up with friendssUkiwa na shida , jishushe Ili watu wakusaidie.
Katika pilika zake za kutafuta riziki, ina maana hana muingiliano wowote na watu wengine ?Hili boya halijielewi ndo mana anasema hawezi ku-keep up with friendss
Thanks for sharing mkuuNme experience same shit mkuu,all i can say,nljfunza kujaribu kucontrol feelings tho n ngumu,mfano anza kwa kumuangalia dem ambae humjui kbs na huna hsia nae,then anza kuforce hsia kwake bila yy kujua chchte,ukshaweza anza kumfatilia incase ukmpata anza date nae hku ukjwekea ipo siku atazngua na mtaachana,ukweza hili good start..
Ukpata hasira utareact ila akil ya 2 itakua inakupa tahadhar,ila trust me u wl never b d same again 100%..
Inafka stage washkaj zko wanaokujua watakwambia ukja kuoa wife atapata tab sana 7b all women watakua project tu kwako mpaka umpate mwny tatz km lko mtaendana whch hutakua kjna tna by dat tym km ukfka maana madhara ya hii k2 n magonjwa ya moyo sabab za hiz rapd temper..
Ila jua mkuu nmeongea frm experience,mm sio mtaalam wa fani io ila mm ndo nlbojtbu,by daway tumia online kupitia self psychology
Achana naye, labda anafikiri anatulipa labdaLabda ana maana yake kuuliza hayo maswali, wewe unamjia juu
Kama ungekuwa unahitaji wenye ujuzi, ungeenda kwa psychologist sasa, husingeandika uzi