Wakuu, nahitaji ssaada wa Security Codes za Nokia C2-03 na 7210. Nafahamu kuwa SecurityCode ya Nokia N1280 ni 12345 nikadhani kuwa hii ndio kwa simu za Nokia zote kumbe sivyo.
Nani kakwambia kila model ya Nokia ina default security code yake? Iko moja kwa nokia zote yaani 12345. Kama haifanyi kazi ina maana ilibadilishwa. Kama hiyo nyingine imesahaulika unatakiwa kupata master security code. Ingia hapa fuata maelekezo.