Nahitaji msaada wa mawazo.

Pole kwa yaliyokukuta dada.ki ukweli ni kwamba wanaume tumetawaliwa sana na tamaa so ni rahisi kucheat hata kama anakupenda.Nyie wanawake mnatakiwa muwe mnatuombea sana.Kumwacha mme wako sio wazo zuri kabisa cha msingi msamehe cz atleast huyo anakucheat na hilo jimama moja utakuja kuingia pabaya ukajikuta kwenye chain ukajilaumu afadhali ulikotoka.So huu ni wakati mzuri wa kuimarisha ndoa yako si kuomba taraka,utaomba kwa wangapi?na wakati sisi wanaume asilimia karibu zote mwalimu wetu ni mmoja kipofu

Kinachoonekana hukutegemea kama mmeo anaweza kukucheat ukasahau na yeye ni binadamu so lolote laweza kutokea.Ni misuko suko tu ya ndoa usione wazee wetu wamevumiliana mengi ndo wamefika walipo.Muombe Mungu akupe ujasiri unaweze kusahau na kusonga mbele, fanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Kuhusu swala la kuchungwa kwa kiasi fulani ni wewe ndo unaelisababisha cz jamaa anaona u dnt care him anymore anakuwa unsecured so jitahidi kumpa full support atakucha huru kama zamani.

May God Bless Your Family
 
pole sana DADA angu..........ila kuwa mvumilivu

unajua baadhi ya wanaume tunatamaa sana but pindi tukifumaniwa huwa haturejei tena tlikotoka.....so mpe nafasi nyingine
 
PM me,
we can't talk here some details.
And don't worry I'm a person of integrity
NOTE: If only you really need help and not otherwise!
 
ok ndg yng i will do it, mida ya mchana. 2ko na kikao cha kiofc. 2tabrek sa 6:30. Thanx a lot!
PM me,
we can't talk here some details.
And don't worry I'm a person of integrity
NOTE: If only you really need help and not otherwise!
 
Jifunze kusamehe 7 mara 70 na mungu atakubaliki!!kutoka nje ya ndoa ni roho ya shetani,pia kutokusamehe ni roho ya shetani!!ni vizuri kumsamehe tu!!
 
ok ndg yng i will do it, mida ya mchana. 2ko na kikao cha kiofc. 2tabrek sa 6:30. Thanx a lot!
welcome,
know that you are in my prayers. Happy marriage is God's plan. bitter marriage is devil's plant and sometimes our plant/ignorance.

May God grant you peace and deal with your marriage!
 
nafikiri kuwa unampenda sana na huko tayari kumuacha ila ni hizo nightmare za huyo mama pekee. hakuna dawa dada zaidi ya kumsamehe tu, tena bila masharti. kumbuka kuwa imeandikwa "kwa maana msipowasamehe watu makosa yao wala Baba yenu wa mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu". nakutakia amani na tafakari njema
 
welcome,
know that you are in my prayers. Happy marriage is God's plan. bitter marriage is devil's plant and sometimes our plant/ignorance.

May God grant you peace and deal with your marriage!

yeshua umeandika vyema sana, ubarikiwe na Bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…