Nahitaji msaada wa kiuchumi

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Salamu ziwafikie wanajukwaa wote!

Mimi ni mvulana wa miaka 26, nina Bachelor degree of science in food science and technology nimegraduate mwaka jana (2015). Mzazi wangu mmoja (baba) ameshafariki muda mrefu tangu nikiwa mdogo sana, nimesoma kwa tabu sana mpaka nimemaliza chuo kwa hilo nashukuru mungu, hivi sasa nipo na mama yangu Dar es salaam mama amepanga ila mimi nimehifadhiwa tu kwa rafiki sina sehemu maalumu ya kukaa. Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta ajira lakini mpaka sasa sijafanikiwa na muda unazidi kwenda. Kutokana na kukaa muda mrefu mtaani (jobless) Nimecome up na idea mbalimbali ila kwenye kila idea nakabiliwa na changamoto mbalimbali.

Idea No. 1
Ufugaji wa kuku. Tatizo niliokuwa nalo sina sehemu ya kufugia ikiwemo mabanda na eneo maalumu kwa mradi huu.

Idea no. 2
Biashara ya nafaka (cereals) kama vile rice (mchele), mahindi n.k, changamoto niliokuwa nayo ni soko, sehemu ya kufanyia hii biashara na upatikanaji wa hii bidhaa.

Idea No. 3
Biashara ya vinywaji baridi (soft drinks and water) kwa jumla, changamoto niliokuwa nayo ni sehemu ya kuuzia, soko, agents hivyo vyote sina kwa sasa.

Naombeni msaada wenu wakuu kumbuka ndio naanza maisha na kitaani ni kugumu, ajira bado ngumu kupatikana kutokana na profession yangu maana hata sehemu ya kukaa bado sina.

Napatikana muda wowote (24hrs), namba zangu 0758 106 501, karibuni tusaidiane jamani katika kupambana na umasikini. nipo Dar es salaam hivi sasa.
 
Safi sana kijana safi sana mdogo wangu,JF ni jukwaa huru sana ni sehemu ambayo watu wanapata faida kubwa kuzidi hasara,
kwanza nikupongeze kwa kujitambua na kutoingia kwenye makundi ya kubet na kucheza kamari mitaani,
nikuombe tu usikate tamaa naamini hapa JF utapata suluhisho la haya uliyoandika nikutakie subra njema mdogo wangu
 
Mimi nina eneo, kitunda, ila ni kiwanja tuu hakuna miundo mbinu, vp ka mtaji ka kuanzia kapo??? Coz kama uko serious naweza kujibana nikajenga mabanda ya kuanzia. Then provide mtaji wa kuku, naweza kuongezea pia, but tutakuwa na contract.
 
Unamtaji? Nakama unao ni washingap?
 
Unamtaji? Nakama unao ni washingap?
mimi binafsi sina mtaji kwa vile ni fresh graduate na ndiyo kwanza naanza maisha ila kuna mtu nilimuomba hela kama mkopo na alinipromise anaweza kunipa maximum Tshs 500,000
 
Ahsante sana kaka! good luck!
Safi sana kijana safi sana mdogo wangu,JF ni jukwaa huru sana ni sehemu ambayo watu wanapata faida kubwa kuzidi hasara,
kwanza nikupongeze kwa kujitambua na kutoingia kwenye makundi ya kubet na kucheza kamari mitaani,
nikuombe tu usikate tamaa naamini hapa JF utapata suluhisho la haya uliyoandika nikutakie subra njema mdogo wangu

/QUOTE]
 
Mimi nina eneo, kitunda, ila ni kiwanja tuu hakuna miundo mbinu, vp ka mtaji ka kuanzia kapo??? Coz kama uko serious naweza kujibana nikajenga mabanda ya kuanzia. Then provide mtaji wa kuku, naweza kuongezea pia, but tutakuwa na contract.
Ahsante sana ndugu, Ila mimi ni fresh from school ndiyo kwanza naanza maisha na nipo serious kwa hilo 0758 106 501 azizishabani@yahoo.com Good luck!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom