Sio unachukua degree,
Sema unasoma degree!
Unachuka unaifaham kwani?
Ni ya kwako hadi uichukue?
Unachukua unajua ulipoiweka?
Pole kwa kukosa mkopo ndio serikali yetu hii tumeipenda wenyewe! Wacha waisome namba eeeeee[emoji443] [emoji442] [emoji443] [emoji442]