Biashara Mtaji
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 324
- 289
Ahsante Sana mkuuPole mkuu, subiri waje wataalam, lakini pia njia pekee ya kuacha kabisa punye ni kumrudia muumba wako, hilo ni pepo, Baya Sana ambalo limewakumba vijana wengi Sana. Pole Sana ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijang'ang'ania kitu mkuu nahitaji njia za kuacha ndio maana nimeomba nisaidiweKuna kitu umeking'ang'ania huko kichwani unasema unatamani kuacha unashindwa....Sasa tukusaidiaje mkuu
ahsante Sana Madame SKuumwa na kichwa inaweza kua
Stress
Njaa
Hunywi maji
Hupati muda wa kupumzika vizuri
Hebu jichunguze kwanza ratiba yako per day, unapata muda wa kutosha wa kupumzika? Unazingatia chakula sahihi kwa afya yako? Vipi kuhusu maji unakunywa inavyotakiwa?
Ulipaswa kufanya hivi kunywa maji mengi then angalia bado kinauma? Then pumzika bado kitakuuma? Achana na stress je bado unaumwa? Ikiwa utazingatia hayo na bado unaumwa inakupasa sasa uwah hospital kwa msaada zaidi
Madame S
Cherie neishaSio rahisi kuacha punyeto kama isivyo rahisi kuacha kufanya ngono.
Na pia sio rahisi kuacha punyeto kwasababu Ni njia rahisi ya kukupa raha kila unapotaka bila kumwomba mtu.
Ila ntakupa ushauri huu.
Spidi unayotumia kujichua siyo spidi unayotumia kufanya ngono.
Sasa,from my psychological point of view,kama unataka kumshinda adui yako bila yeye kujua yani tricking your brain,inabidi umtumie adui yako.Yaani ufanye hiyo hiyo punyeto kujikomboa.
Anza kupunguza spidi ya kujichua,namaanisha unapojichua usifanye haraka haraka Fanya taratibu.
Endelea kupunguza spidi hata kama 'utateseka' its the only way.
Sasa endelea kupunguza spidi mpaka ufikie ile unayotumia kufanya sex na mwanamke.
Ukipenda punguza zaidi.
Wakati unapunguza spidi ya kujichua pia uwe unafanya sex na mwanamke wako kuona kama inafanya kazi.
Itafika stage ubongo wako utazoea kuwa raha unayoipata kwenye sex Ni sawa na ya punyeto.
Endelea kupunguza spidi ya punyeto uwe unafanya taratibu saaaana.Hapa ubongo wako utaanza kuboreka na kuona bora ufanye sex na mwanamke.Utaona ukifanya sex na mwanamke Ni haraka zaidi.
Mkuu,utakuwa umefanikiwa Ku trick your brain.Yaani ubongo wako unaona sasa sex na mwanamke ni kama ulivyokuwa unafanya punyeto.Na utakuwa na tolerance ya Maana.
All the best.Usigive up.
Thank me later.
ahsante Sana kumbe me mwanaume na sio mvulana haya nilikuwa sijui ahasant kwa kunijuzaPole, miaka 32 sio mvulana ni mwanaume wewe. Pili jarbu kupima macho huenda ukawa na tatzo kwani nalo pia husababisha kichwa kuuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Basis nitafute nikutibu kwa dawa za miti shambaahsante Sana kumbe me mwanaume na sio mvulana haya nilikuwa sijui ahasant kwa kunijuza
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
digba sowey: macho nilipima sina tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana zingatia ushauri uliyopewaahsante Sana Madame S
kichwa tokea nikiwa na umri mdogo huwa kinasumbua na hospital nyingi nimeenda toefauti tofauti lakini naambiwa Kama ulivyo nishauri, ukweli huwa nakuwa busy Sana laikini maji nakunywa na kikianza kuuma na kichefu chefu kinakuja pia
Sent using Jamii Forums mobile app
anhaa kuwa na nia ya dhati ya kuacha inawezekanaSijang'ang'ania kitu mkuu nahitaji njia za kuacha ndio maana nimeomba nisaidiwe
Sent using Jamii Forums mobile app