Bei rahisi Electronicks
Member
- Nov 24, 2025
- 65
- 189
Wanawake wapo wengi sana ila sio Mke wa mtuUkikubali kumtrombra huyo mama, hakikisha unaingia na mafuta kwenye chumba hicho ili iwe rahsi kwa jamaa kufraaaa
Baba alinambia ukitaka kuona Maisha magumu tembea na mke wa mtuMpo wachache sana watu wa namna hiyo aiseeeee...
Kwahyo wewe hutaki hata kuichapa...
Mi isingekua mwezi mtukufu huu ningekua nishakuomba namba pm ya huyo mama aiseee niichapae
Ahahaahh faza jau mbna khaaaaBaba alinambia ukitaka kuona Maisha magumu tembea na mke wa mtu
Wanawake wapo wengi sanaAhahaahh faza jau mbna khaaaa
Daaah kweli kabisa hata mimi ujanja wangu wote huu silagi mke wa mtu...Wanawake wapo wengi sana
mwambie mume wake na itapendeza zaidi hasa kipindi hiki cha mfungo mtukufu na Mwenyezi Mungu akubariki gentleman.Mimi ni kijana wa miak 25 Sasa naingia mwaka huu Kuna mke wa mtu ananisumbua ananitumia message namba tofauti tofauti nishamtukana na kuama mtaa ,mwazoni alihitaji msaada WA pesa aliniomba nikampa elfu 50 alisema Mama yake anaumwa Sasa ivi anasema anataka kulipa fadhila kuja Kwangu HIO ZAMBI YA MKE SIITAKI NISHAMWAMBIA IYO NIMETOA KAMA SADAKA BADO NIFANYE NJIA GANI
Sasa niliona nitawahalibia ndoamwambie mume wake na itapendeza zaidi hasa kipindi hiki cha mfungo mtukufu na Mwenyezi Mungu akubariki gentleman.
hilo ni miongoni mwa mabomu hatari zaidi yenye athari kubwa mno.
Likilipuka ni ama zako, ama zake mwanamke ama nyote wawili kwa mpigo moja kutoka kwa mume wake
Kweli kakaMtego huo
hapana,Sasa niliona nitawahalibia ndoa
Hadi kuhama mtaa, hii nayo kaliMimi ni kijana wa miak 25 Sasa naingia mwaka huu Kuna mke wa mtu ananisumbua ananitumia message namba tofauti tofauti nishamtukana na kuama mtaa ,mwazoni alihitaji msaada WA pesa aliniomba nikampa elfu 50 alisema Mama yake anaumwa Sasa ivi anasema anataka kulipa fadhila kuja Kwangu HIO ZAMBI YA MKE SIITAKI NISHAMWAMBIA IYO NIMETOA KAMA SADAKA BADO NIFANYE NJIA GANI
Huwa mnafarijiana na hii inshu ya mafuata, amini Hawa viumbe wanachakatwa isivyo kifani na hakuna wa kukukamata. Niamini ikiamua kuwafungia kazi hutowahi kudakwa kamwe .Ukikubali kumtrombra huyo mama, hakikisha unaingia na mafuta kwenye chumba hicho ili iwe rahsi kwa jamaa kufraaaa
Majaribu yalizidi ukiona hivyoHadi kuhama mtaa, hii nayo kali
ni mawazo na akili yako mgando! Watu wanachinjwa,wanapigwa nondo, watu wanachizika,wanamwagiwa tindi kali kisa wake za watu halafu wewe unaleta ngonjera! Haya endelea kuwala.Huwa mnafarijiana na hii inshu ya mafuata, amini Hawa viumbe wanachakatwa isivyo kifani na hakuna wa kukukamata. Niamini ikiamua kuwafungia kazi hutowahi kudakwa kamwe .
Hayupo siriaz huyu.Hadi kuhama mtaa, hii nayo kali