Kwa upande wa spika za mid nunua za kutoka kampuni ya CANDY na bass pia kutoka kampuni hiyo hiyo, na inapendeza zaidi uwe na mid mbili za double na bass mbili za double.......usitumie power mixer bali tumia buster nzuri ambazo pia zipo za kutoka kampuni hiyo hiyo ya CANDY, nunua pre mixer, x-over na equaliser...... na asikudanganye mtu eti uchongeshe buster kwa hawa mafundi wetu wa kibongo au eti ukinunua chombo kutoka dukani upeleke kwa fundi akaki modify ili kisiungue, kuungua kwa chombo chchte kile ni hitilafu za kawaida tu za umeme.......nimeishia hapo kwa ufupi, kama una swali lingine niulize