Nahitaji mme

Kwi kwi kwi kwi
Alafu huu mchezo wa text za mitandao wa kishenzi sana, always wana wrong timing hawa jamaa. Unakuta upo kiroho juu unasubiri utumiwe text na mtu...ikiingia tu vibration unatamani kurusha simu. Afu kitu GAWIO la TigoPesa Tsh 250.
 
Samahani dada nilikuwa naulizia siku ya interview ni lini.....??
Maana tume apply kitambo sana....
 
Wivu hunaaa, lakini roho inakuumaje!:lol::lol::lol::lol::lol::lol:! Kula hutaki na hutaki wenzio wale vile vile! Hahahahaaaa! Toa namba hapo (you never know na kina sie tunaweza kuichukua! expect the unexpected!)

Oh My God katika wasichana warembo duniani lara 1 umo, ila umepungukiwa kitu kimoja kidogo sana....
 
Last edited by a moderator:
kahama,???? unaweza kuja hapa mwakitolyo tukaonana, ili nikufanyie tongozo la maana.
 
dohh!!!

mi bado sijafika nipo below umri wako.... kama unamdogo wako pia itakuwa vizuri.... ila ungeweka picha yako ingekuwa rahisi sana.... reception muhimu
 
umri ndyo kigezo nipo shy town ninge ku pm ila na0gopa
 
Naam nipo na miaka kuanzia 30 mpaka 37 mimi ni mkristo nimeajiriwa serikalini naam na mahaba motomoto.
 
wakubwa wanafaidi. hivi sitti mtemvu si ali forge cheti cha kuzaliwa ngoja nika adjust
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…