Na pengine anaweza kuwa ZARI kama wa Dangote pia. Sisi above 40 imekula kwetu.Kumbe humu zali huwa zinatokeaga e...
Mzee umechangamkia fursa seriously, kila la heri. Usitusahau kadi.Call 0785521511
Mzee umechangamkia fursa seriously, kila la heri. Usitusahau kadi.
tel ze trus,Wivu hunaaa, lakini roho inakuumaje!:lol::lol::lol::lol::lol::lol:! Kula hutaki na hutaki wenzio wale vile vile! Hahahahaaaa! Toa namba hapo (you never know na kina sie tunaweza kuichukua! expect the unexpected!)
Na kuna mwenye ngozidada kuwa makini maana msafara wa MAMBA na kenge wapo.....kuna mwenye ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu
MUNGU AKUPE HITAJI LA MOYO WAKO
-----------------------------------------------------Hongera kwa uthubutu ila kilichoniacha hoi ndio kwanza una post 1 sasa wakiku-PM unajibu Vipi? au kama vipi njoo na ID ya zamani
Wivu hunaaa, lakini roho inakuumaje!:lol::lol::lol::lol::lol::lol:! Kula hutaki na hutaki wenzio wale vile vile! Hahahahaaaa! Toa namba hapo (you never know na kina sie tunaweza kuichukua! expect the unexpected!)
Kwa mwendo huu nami itabidi nianze kupost yakwangu itokeapo nafasi....you never know heheheh
Ukishapost ikiinhia SMS roho juuuuu! Moyo wakupwita juu juu. Na hivi umetumia line kanyaboya haijui MTU, unasema tayariii. Kuja kuidoma kumbe Voda na Jay Million. Hihihiiiiiiiiiiiiiiiii.