safi sana kaka nakutakia kila la kheri ila nakutahadharisha jukwaa hili lina kila aina ya pipol! wapo wakweli na wasanii! nenda taratibu jambua upi mchele zipi pumba! nakitakia cku njema![/QUOTE said:
asante ndugu! kwa ushauri wako! nawe pia cku njema.
what if kama sina mtoto?unajua nyie wanaume huwa mnajidanganya mnapotafuta wanawake wenye mtoto eti kwa kuwa tayari wewew unaye.uzuri wa mtu umo ndani ya moyo wake na sio kwa kuwa keshazaa unaweza kupata asiyekuwa naye akakulelea vzr mwanao na huyo mwenye naye akawa na roho mbaya tu acheni kuishi kwa nadharia za vijiweni
mimi nimekupenda sana.....hasa ulivyotaja mambo ya kilimo nikakumbuka mahindi ya kuchoma......wallah nakupenda wewe......na niko serious.......napatikana Yaeda.......
habari za leo wanajamii? natumaini ni wazima wa afya........ kama kawaida cku yangu jana iliendelea vizuri sana jana nilikutana na mtu mmoja tu (1) kila swali langu lilijibiwa vizuri..! ninamatumain huyu huenda akawa ndie hasa mkulima niliekuwa namtafuta, pia nitoe shukurani kwa mlio ni pm na nilio wa pm siwezi kuwazarau nawaheshim sana. na asanteni kwa ushauri wenu.
shukurani pia ziende kwa wale wasio amini na kuona kila anae kuja jf kaferi 'awashauri wabadilike sasa kila kitu ni hazarani. sio siri kama miaka 50 iliyo pita. well done JF kwa mpango wenu.