Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,217 Feb 11, 2023 #21 medy45 said: Sijafanikiwa kupata kwakuwa sina connection ya watu kama hao wa mikopo ndomana unaona mpaka leo natafuta watu Click to expand... Una miaka mingapi?
medy45 said: Sijafanikiwa kupata kwakuwa sina connection ya watu kama hao wa mikopo ndomana unaona mpaka leo natafuta watu Click to expand... Una miaka mingapi?
M medy45 Member Joined May 2, 2017 Posts 14 Reaction score 7 Feb 11, 2023 Thread starter #22 Depal said: Una miaka mingapi? Click to expand... 29
emanuel prim JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 508 Reaction score 477 Feb 11, 2023 #23 medy45 said: Natafuta mtu anaetoa mikopo..nina shida na mkopo wa laki tano nipo tayari kulipa riba 30% Tutaandikishana na utakuja mpaka napoishi kwenye makazi yangu. 0692407964..nipo tayari hata leo Click to expand... Ni mali gani utatumia kama dhamana ya mkopo, endapo ukishindwa kulipa deni ifidie?
medy45 said: Natafuta mtu anaetoa mikopo..nina shida na mkopo wa laki tano nipo tayari kulipa riba 30% Tutaandikishana na utakuja mpaka napoishi kwenye makazi yangu. 0692407964..nipo tayari hata leo Click to expand... Ni mali gani utatumia kama dhamana ya mkopo, endapo ukishindwa kulipa deni ifidie?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,199 Reaction score 184,923 Feb 11, 2023 #24 Riba ya 30% unajiumiza sana... Kila la kheri...
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,555 Reaction score 11,251 Feb 12, 2023 #25 Depal said: Mtoa mada huu mkopo unataka kuufanyaje? Tokea dec we unatafutaga tu, ni hupati au unakusanya mikopo mingi? medy45 Click to expand... Una maswali mengi kwani ww ni police π
Depal said: Mtoa mada huu mkopo unataka kuufanyaje? Tokea dec we unatafutaga tu, ni hupati au unakusanya mikopo mingi? medy45 Click to expand... Una maswali mengi kwani ww ni police π
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,555 Reaction score 11,251 Feb 12, 2023 #26 Depal said: Una miaka mingapi? Click to expand... Mkopeshe basi mi nina miaka 60 wewe je???π π
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,217 Feb 12, 2023 #27 D Metakelfin said: Hujui atalipa ndani ya muda gani lakin maana riba pia inaendana na muda Click to expand... Nilivyo navyo mie Kuna kimoja cha asilimia 5 Kingine 10 Na riba ni generally ya mkopo Kama ni mkopo wa 1M ( kwa 5% ni 50k, na kwa 10% ni 100K
D Metakelfin said: Hujui atalipa ndani ya muda gani lakin maana riba pia inaendana na muda Click to expand... Nilivyo navyo mie Kuna kimoja cha asilimia 5 Kingine 10 Na riba ni generally ya mkopo Kama ni mkopo wa 1M ( kwa 5% ni 50k, na kwa 10% ni 100K
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,217 Feb 12, 2023 #28 Copa Cabana said: Una maswali mengi kwani ww ni police π Click to expand... No Nimejaribu tu kufatilia π
Copa Cabana said: Una maswali mengi kwani ww ni police π Click to expand... No Nimejaribu tu kufatilia π
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,555 Reaction score 11,251 Feb 12, 2023 #29 Depal said: No Nimejaribu tu kufatilia π Click to expand... Dp yako unaonekana mrembo bibie
M medy45 Member Joined May 2, 2017 Posts 14 Reaction score 7 Feb 12, 2023 Thread starter #30 Depal said: Nilivyo navyo mie Kuna kimoja cha asilimia 5 Kingine 10 Na riba ni generally ya mkopo Kama ni mkopo wa 1M ( kwa 5% ni 50k, na kwa 10% ni 100K Click to expand... Basi nikopee mie
Depal said: Nilivyo navyo mie Kuna kimoja cha asilimia 5 Kingine 10 Na riba ni generally ya mkopo Kama ni mkopo wa 1M ( kwa 5% ni 50k, na kwa 10% ni 100K Click to expand... Basi nikopee mie
Masasaa JF-Expert Member Joined Oct 23, 2015 Posts 586 Reaction score 631 Feb 22, 2023 #31 Kama una biashara yoyote na dhamana nenda Brac