jumbenylon Senior Member Joined Jun 12, 2011 Posts 115 Reaction score 10 Mar 13, 2013 #1 nahitaji mkopo wa shilingi milioni mbili, kama kuna mtu yupo tayari kunisaidia tafadhali tuwasiliane kupitia 0714021078 tuweze kuongea zaidi na kufikia makubaliano na mambo ya msingi... tafadhali sana
nahitaji mkopo wa shilingi milioni mbili, kama kuna mtu yupo tayari kunisaidia tafadhali tuwasiliane kupitia 0714021078 tuweze kuongea zaidi na kufikia makubaliano na mambo ya msingi... tafadhali sana
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Mar 13, 2013 #2 pesa sijui kama mtaweza kuaminiana huku mitandaoni!!!!!!!!!!! lakin huwez jua, kuna wenye mioyo mepesi
pesa sijui kama mtaweza kuaminiana huku mitandaoni!!!!!!!!!!! lakin huwez jua, kuna wenye mioyo mepesi