nahitaji mkopo wa haraka 2m

nahitaji mkopo wa haraka 2m

manka2

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
17
Reaction score
4
wana JF nahitaji mkopo wa haraka 2m nitalipa na riba. kama kuna mtu mwenye uzoefu au mwenye kujua wanapotoa kwa uharaka. Asante
 
nitarudisha baada ya mwezi...nina dhamana ya kadi ya gari...
 
Riba 350,000. kwa mwezi mmoja, kama upo tayari tufanye mchakato
 
wana JF nahitaji mkopo wa haraka 2m nitalipa na riba. kama kuna mtu mwenye uzoefu au mwenye kujua wanapotoa kwa uharaka. Asante

Kukupa mkopo sio tatizo, tatizo ni wewe kulipa....
 
Kukupa mkopo sio tatizo, tatizo ni wewe kulipa....

Nenda kawaone hawa hapa:
http://www.africanmicrofinance.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=109&Itemid=160

Ukienda ukiwa kamili unapata mkopo huo in 36 hours, hardly 48hrs!
Ukitaka uende ukiwa kamili watwangie wakupatie maelekezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom