Nahitaji Mkopo wa ada

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,679
Reaction score
27,656
Habarini ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimekwama ada kias cha laki mbili, nipo dar, naomba kwa yeyote anikopeshe kwa dhamana ya cheti changu cha Form 6.Nitamrudishia muda muafaka, nimepambana lakini jitihada zangu zimegonga mwamba.

Kwa anayehitaji ushahid na ninaposoma na other documents, njoo Pm

Nisaidien ndugu yenu nahitaji kumaliza chuo, ni mwaka wa sita sasa nashindwa kuhitimu masomo kwa sababu ya ada, nikishindwa huu mwaka, utakuwa mwaka wa 7. Natamani na mimi nihitimu masomo nilisaidie taifa langu, Naombeni nikopeshwe kiasi hicho.

Asanteni
 
Pole sana mkuu vitu vya muhimu watu wanavipita bila kusoma inasikitisha sana
 
Mwaka wa sita unakosa hiyo hiyo laki mbili ama ni matatizo tofauti?

Sema ungetundika huu uzi jukwaa kama la "mambo mchanganyiko", huku ulipo naona ni mbali sana kuonekana.
 
duh ila lowasa alionaga mbaga sana kusema chuo itakuwa bure maana chuo ada ndo kubwa sio sawa na huko chini
 
duh ila lowasa alionaga mbaga sana kusema chuo itakuwa bure maana chuo ada ndo kubwa sio sawa na huko chini
Hiyo hela angetoa wapi? wewe huoni tu sasa hivi hiyo primary na sekondari tunahemea juujuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…