mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili IFM,, kutokana na changamoto za kupanga nikajiweka nikanunua kiwanja chanika na baadae kidg nikaanza ujenzi sehem iliyobakia ina bajeti ya wastani wa 2m hivyo naomba mwenye kumjua mtu anaetoa mkopo anisaidie tafadhari nitamlipa kutoka kwenye installment zangu za boom kwa kila boom nitarejesha 400k . Naombeni ushirikiano wenu wakuu
Sent from my iPhone using JamiiForums