Nahitaji mkopo kwa riba

Nahitaji mkopo kwa riba

mamie mie

Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
17
Reaction score
0
Habar wana-Jamiiforums.

Nimejitokeza hapa nahitaji mkopo wa Milioni 1 kwa Riba ila nitampatia Hati ya Kiwanja kiwe kama collaterall.

Mwenye uwezo huo anicheki : 0767948594
 
Kijana mm nipo tayari kukupa kiasi hicho je mm milion moja kwa riba ya laki tano na pili hiyo hati tunakwenda kwa mwanasheria tunandikishana na kiwanja kiwa daslaaam ok pm me
 
Mm nipo dsm je hiko kiwanja kipo sehemu gani na upo tayari kulipa kwa riba ya 500000 kwa mwezi 1
 
He yaani ukope 1000000 riba laki tano acheni kutake advantage na shida za watu...
Mie nina shida ya milioni 30 mwenye nazo anikopeshe nitamlipa within three years bila riba lakini lols😊😊😊😊😊😊😆uwezo wangu ni kulipa milioni moja kila mwezi sio zaidi ya hapo.
..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom