S sibuga Member Joined Nov 2, 2011 Posts 26 Reaction score 1 Sep 14, 2013 #1 Natafuta mke wa kuolewa. Awe mkiristo ameajiriwa awe na walau digrii ANITAFUTE KWA 0655945313 0762945313
Natafuta mke wa kuolewa. Awe mkiristo ameajiriwa awe na walau digrii ANITAFUTE KWA 0655945313 0762945313
wamogori JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 888 Reaction score 339 Sep 14, 2013 #2 Ili upate majibu sahihi ni vema kwanza na wewe ukaweka wasifu (cv) wako hapa.
Home First JF-Expert Member Joined Feb 23, 2013 Posts 609 Reaction score 247 Sep 14, 2013 #3 Wanakuja mkuu, japo kisirisiri kupitia PM.
E Elizabeth Dominic Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 4,555 Reaction score 3,658 Sep 14, 2013 #4 Mi mkristu sijaajiliwa na sina degree lakini najua kupika pia naweza kufanya usafi wa nyumba na wa mwili pia najua kucare......nitafaa?
Mi mkristu sijaajiliwa na sina degree lakini najua kupika pia naweza kufanya usafi wa nyumba na wa mwili pia najua kucare......nitafaa?
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,190 Sep 14, 2013 #5 Elizabeth Dominic said: Mi mkristu sijaajiliwa na sina degree lakini najua kupika pia naweza kufanya usafi wa nyumba na wa mwili pia najua kucare......nitafaa? Click to expand... ^^ Usipofaa huko..kuna mahali unafaa sana ^^
Elizabeth Dominic said: Mi mkristu sijaajiliwa na sina degree lakini najua kupika pia naweza kufanya usafi wa nyumba na wa mwili pia najua kucare......nitafaa? Click to expand... ^^ Usipofaa huko..kuna mahali unafaa sana ^^
E Elizabeth Dominic Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 4,555 Reaction score 3,658 Sep 14, 2013 #6 Himidini said: ^^ Usipofaa huko..kuna mahali unafaa sana ^^ Click to expand... Hahahaa.....nilikuwa namchallenge jamaa kuwa degree na ajira haimfanyi mke. Hapo mahali pafaapo napasubiri
Himidini said: ^^ Usipofaa huko..kuna mahali unafaa sana ^^ Click to expand... Hahahaa.....nilikuwa namchallenge jamaa kuwa degree na ajira haimfanyi mke. Hapo mahali pafaapo napasubiri
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Sep 14, 2013 #7 unahitaji mke wa kuolewa..ni kiswahili fasaha hiki!!!!!!!!!!!!!
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,688 Sep 14, 2013 #8 sibuga said: Natafuta mke wa kuolewa. Awe mkiristo ameajiriwa awe na walau digrii ANITAFUTE KWA 0655945313 0762945313 Click to expand... Utampata inshallah kuwa na subira!!
sibuga said: Natafuta mke wa kuolewa. Awe mkiristo ameajiriwa awe na walau digrii ANITAFUTE KWA 0655945313 0762945313 Click to expand... Utampata inshallah kuwa na subira!!
kalou JF-Expert Member Joined Aug 22, 2009 Posts 4,992 Reaction score 3,879 Sep 14, 2013 #9 mke wa kuolewa au mke wa kuoa....???
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,190 Sep 15, 2013 #10 Elizabeth Dominic said: Hahahaa.....nilikuwa namchallenge jamaa kuwa degree na ajira haimfanyi mke. Hapo mahali pafaapo napasubiri Click to expand... ^^ Nahisi kama una sauti fulani hivi ya kujitambua..keep it up ^^
Elizabeth Dominic said: Hahahaa.....nilikuwa namchallenge jamaa kuwa degree na ajira haimfanyi mke. Hapo mahali pafaapo napasubiri Click to expand... ^^ Nahisi kama una sauti fulani hivi ya kujitambua..keep it up ^^