Wewe mwenyewe hauko serious uje umpate mwanake serious? Bado unacheza makimakida ukikua utajua mwanamke anataftwaje sio kila kitu easy kama nyanya! Tuliza haliki muombe Mungu utachelewa kujibiwa ila utapata mana Mungu wetu awai wala hachelewi! Sio kuwa hauwezi pata mke ndani ya mtandao hapana waweza pata isipo kuwa watu kwa sasa wanaogopana ma kuajiriwa serikalini sio kusema ndo kuwine maisha ra asha wala sio kuwa ndo utapata mke bora hapana futa hakili za kutaka kusaidiwa maisha wewe kama ni mwanaume kubaliana na maisha umetaka kuoa kabiriana nakuitunza sio utafte mke anae fanya kazi ili upunguze ukari kama ni hivyo utakaa sana kwani unaogopa nini mpaka utafte mfanya kazi jiamini wewe ni kidume mama yako alipo kuzaa alifrahi kupata mtt wa kiume sasa leo hii unaogopa maisha ya kuendesha familia mhhhhhh.