U ukwajumtamu Member Joined Mar 6, 2015 Posts 15 Reaction score 14 Jun 28, 2022 #1 Habari zenu waungwana. Mimi ni mume mwenye watoto kadhaa. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuwa mke wa pili. Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 40. Naamini humu wapo wanawake wanaohitaji stara. Karibuni PM
Habari zenu waungwana. Mimi ni mume mwenye watoto kadhaa. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuwa mke wa pili. Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 40. Naamini humu wapo wanawake wanaohitaji stara. Karibuni PM
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Jun 28, 2022 #2 Aiseeee
Mmmh Member Joined Jun 26, 2022 Posts 5 Reaction score 23 Jun 28, 2022 #3 ukwajumtamu said: Habari zenu waungwana. Mimi ni mume mwenye watoto kadhaa. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuwa mke wa pili. Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 40. Naamini humu wapo wanawake wanaohitaji stara. Karibuni PM Click to expand... Good luck!!! Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
ukwajumtamu said: Habari zenu waungwana. Mimi ni mume mwenye watoto kadhaa. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuwa mke wa pili. Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 40. Naamini humu wapo wanawake wanaohitaji stara. Karibuni PM Click to expand... Good luck!!! Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,915 Reaction score 119,281 Jun 30, 2022 #5 Kuwa na wanawake wengi kwa mwanaume, ni dalili njema kwake kuishi maisha marefu. Haijalishi ni Mkristo au Muislam. Ukiwa na mke mmoja pekee, halafu awe pilipili! Basi siku za kuishi kwa mwanaume zitakuwa ni za kuhesabika.
Kuwa na wanawake wengi kwa mwanaume, ni dalili njema kwake kuishi maisha marefu. Haijalishi ni Mkristo au Muislam. Ukiwa na mke mmoja pekee, halafu awe pilipili! Basi siku za kuishi kwa mwanaume zitakuwa ni za kuhesabika.
U ukwajumtamu Member Joined Mar 6, 2015 Posts 15 Reaction score 14 Jun 30, 2022 Thread starter #6 lucy01 said: Unabipu migogoro Click to expand... Hakuna migogoro. Ni kuzisimamia nyumba vema hapo migogoro ni ngumu kujisogeza
lucy01 said: Unabipu migogoro Click to expand... Hakuna migogoro. Ni kuzisimamia nyumba vema hapo migogoro ni ngumu kujisogeza
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,297 Jun 30, 2022 #7 All the best