mwanairinga
Senior Member
- Dec 21, 2015
- 179
- 12
Tupiamo na kapicha basi ili wakuelewe
Utaoa popo bawa..........
you are not serious
Mkuu wanaweke wako Fb huku ni umevaba
kina fatu huwa wakuoa kwa tahadhari,wana kidomo-domoBank una sh ngapi?
Mmhh...
Kila la Kheri mkuu... Tulia acha pupa Mungu atakupa, kuna MABUMUNDA mengine sio
Bank una sh ngapi?
Asa unavyosema umebanwa human Mda wa kutafut mdada, huku ukimpata utaonana mate sangap? N a kwanzia umeanza primary mpak chuo umeanza na kaz bado tu hujaona????????au ndomo.....
Mmhh...
Hapana mda wa kukutana naye ciyo tatizo, alikuwepo mtu nilikuwa namtegemea kuao lakini mambo yameenda civyo!
Ni pm kama unaweza!