Asante sana ππΌ wakikua watajuaMaisha ni safar huenda alikuwa naye kisha akafarik au wakapeana talaka hivyo mtu ameamua kuendelea na safari nyingine.
Na ukumbuke ss ni binadamu tunakutana na misukosuko na vikwanzo vingi vya kimaisha na mahusiano
Nipo hapa kibonge mwepesiKuna wengine mkuu hata umpge menu namna gani hanenepi, Ila Najua nitampata tu
Hv ndio vigezo vya wanaume subir sasa vigezo vya wanawake uone
Umri wangu 46, mtumishi wa serikali.
Sifa za mke;
1. Elimu kuanzia kidato cha nne.
2. Dini yoyote.
3. Umri iwe Miaka 30-50.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie apunguze masharti. Ye mwenyewe gazeti lishafika saa 10 jioni [emoji23][emoji23]
Hahahahaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mzee [emoji1787][emoji1787]
Wakati mko mnapeak at 32/33/34/35/36 uwa mnaringaa.
Mkishakuwa wababa wazee wa 40s mnaacha kunyata [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa mwembamba ww... maana wembamba wana maneno sana
Mimi ninao mabinti wawili wamekaa tu hawapati wachumba, unaonaje nikupe woye wawili ukiwachanganya utapata unene unaoutaka, tuwasiliane.
Umri wangu 46, mtumishi wa serikali.
Sifa za mke;
1. Elimu kuanzia kidato cha nne.
2. Dini yoyote.
3. Umri iwe Miaka 30-50.
si amekuambia ameshampata? Sa maigizo ya nini tena?Mimi ninao mabinti wawili wamekaa tu hawapati wachumba, unaonaje nikupe woye wawili ukiwachanganya utapata unene unaoutaka, tuwasiliane.
Sasa basi njoo uwachukue wewe msemaji wake, mimi nimechoka kuwalisha.si amekuambia ameshampata? Sa maigizo ya nini tena?
Umri wangu 46, mtumishi wa serikali.
Sifa za mke;
1. Elimu kuanzia kidato cha nne.
2. Dini yoyote.
3. Umri iwe Miaka 30-50.
Kuna wanaume age hii wanadate na watoto wa 20 yrs kurudi chiniMwambie apunguze masharti. Ye mwenyewe gazeti lishafika saa 10 jioni [emoji23][emoji23]
ππ€£π€£Chi chi chiboonge....π
Vigezo vyote unavyohitaji ametimiza, she is all yours, welcome aboard. Nikiwa kama mzazi ninawapa unga wa dona
Umri wangu 46, mtumishi wa serikali.
Sifa za mke;
1. Elimu kuanzia kidato cha nne.
2. Dini yoyote.
3. Umri iwe Miaka 30-50.