mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 208
Hapo kwenye miaka unaweza kua specific ?
matombo upo sehemu gani mwanawane
Weka picha
nipo maeneo ya mazimbu,karibu
sehemu ipi ya mazimbu nije sasa hivu tuongee? no pm tumalize hapa hapa
Nenda mrina hapo r chuga utapata....loading error.....
Haya wadada kamata fursa
We hutaki mke unataka kuwagonga than uwabwage. Ungehitaji mke kikwelikweli usingetangaza hivyo. Acha hizo bhn ngoma ipo lakini!
Usingetoa vigezo ingekuwa serious....mhh!!this is a joke for sure!!!
Usingetoa vigezo ingekuwa serious....
nipo maeneo ya mazimbu,karibu
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31,elimu yangu ni degree moja,kazi yangu ni mwalimu ndani ya manispaa ya morogoro,kwa yeyote aliye tayari ani pm,awe mkweli,anayejua nini maana ya maisha,awe mcha Mungu,sibagui elimu wala kabila,awe na umri usiozidi miaka 30!!!