siamin kua wewe ni muislam ninachokiona umekuja kuuchafua uislam. katika uislam sifa za kumchagua mwanamke anayefaa tena kwa mtu anayeongeza mke sijaona kwenye vigezo ulivyoweka hata moja. muislam hakupewa frusa hiyo akapewa uhuru wa kuoa anavyotaka zina mashart yake. na ndio. maana wengi hawajaoa hao 4