lakini kasema ana uwezo wa kumhudumia mwanamke wake sasa uwezo upi hajadadavua na mwana kulitaka ndio mwana kulipewa, mtu anakanywa akisharudi sio wakat anaenda yakimkuta ndio ataelewa umuhimu mwache ashikilie anachoaminiAisee,
Kwa maisha haya, kama huna kipato cha kukutosheleza ww, Mwanamke ni stress tu.
Nimepitia hayo, najua sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini kasema ana uwezo wa kumhudumia mwanamke wake sasa uwezo upi hajadadavua na mwana kulitaka ndio mwana kulipewa, mtu anakanywa akisharudi sio wakat anaenda yakimkuta ndio ataelewa umuhimu mwache ashikilie anachoamini
Poalakini kasema ana uwezo wa kumhudumia mwanamke wake sasa uwezo upi hajadadavua na mwana kulitaka ndio mwana kulipewa, mtu anakanywa akisharudi sio wakat anaenda yakimkuta ndio ataelewa umuhimu mwache ashikilie anachoamini
Mi naona hajakosea maan ukweli utamuweka huru..kashasema anao uwezo wa kumhudumia mwenza ..Mungu amtangulie apate anaestahili ...naamini wife materials bado wapo wengi tuu kikubwa afanye sana ibadaMkuu hawa watu wanataka ready made umekosea uliposema huna kazi. Jitahidi utafute chochote cha kufanya nina imani hata humu hutakuja kutafuta mtaani tu watakutosha.
Any way kila la kheri mungu ajalie hitaji la moyo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi akipata kazi akaoa then akapoteza kazi..je na ndoa nayo itavunjika kisa kazi?...ndoa ni taasis inayohitaji commitment ...uwe tayari kupambana kw changamoto yoyote itakayojitokeza vinginevyo hutawezaSifa namba 4 hapo tayari umeshakosa mke.
Sasa Fanya hivi kabla ya kutafuta mke hakikisha umepata kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah don't worry! Nitakuja as early as possible, Nitakuja na Dada yako, unamfahamu!
Hiyo ni baada ya kuoana.Vipi akipata kazi akaoa then akapoteza kazi..je na ndoa nayo itavunjika kisa kazi?...ndoa ni taasis inayohitaji commitment ...uwe tayari kupambana kw changamoto yoyote itakayojitokeza vinginevyo hutaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni sana jamani. Hapana simfahamu na nina shauku ya kumfahamu[emoji5]Hahahah don't worry! Nitakuja as early as possible, Nitakuja na Dada yako, unamfahamu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupenda sana ww mtoto mzuri kwa ushauri unaowajenga wanawake wenzio kujua kuwa ndoa ni zaidi ya maisha.unaweza kua na kazi ukawa na mwanamke ukaoa ndani yamwezi kaz ukakosa ya Mungu ni mengi, kishasema ana uwezo wa kumhudumia mkewe
Usivunjike moyo, shikilia unachoamini, utapata chaguo lako unaweza ukawa unaongopa ili upate mtu sahihi au ukawa unasema kweli kua huna kaz vyote kwa vyote utapata chaguo lako, kabla ya kutafta huyo mwema hakikisha na wewe ni mwema, inshallah Allah akupe hitaji la moyo wako.
Aisee,
Kwa maisha haya, kama huna kipato cha kukutosheleza ww, Mwanamke ni stress tu.
Nimepitia hayo, najua sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naona hajakosea maan ukweli utamuweka huru..kashasema anao uwezo wa kumhudumia mwenza ..Mungu amtangulie apate anaestahili ...naamini wife materials bado wapo wengi tuu kikubwa afanye sana ibada
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hajajua maana ya maisha huyo Dada., msamehe tu bila gharama zozote Mama.Vipi akipata kazi akaoa then akapoteza kazi..je na ndoa nayo itavunjika kisa kazi?...ndoa ni taasis inayohitaji commitment ...uwe tayari kupambana kw changamoto yoyote itakayojitokeza vinginevyo hutaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema ela ndo kila kitu?TAJIRI WA DUNIA NA MUASISI WA AMAZON TAYARI KASHATENGANA NA MKEWE KULE NCHI ZA MAGHARIBI, SS WW ENDELEA KUJIDANGANYA TU KUWA PESA NDIYO KILA KITU KWA HIVI VIUMBE VYA KIKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran sana ndugu yanguNimekupenda sana ww mtoto mzuri kwa ushauri unaowajenga wanawake wenzio kujua kuwa ndoa ni zaidi ya maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe tayari ushaolewaMi naona hajakosea maan ukweli utamuweka huru..kashasema anao uwezo wa kumhudumia mwenza ..Mungu amtangulie apate anaestahili ...naamini wife materials bado wapo wengi tuu kikubwa afanye sana ibada
Sent using Jamii Forums mobile app