doh wengne weusi japo sifa zote tunazo. oh acha waje
humu yupo mwenye masters degree.. UTAMWEZA?
doh wengne weusi japo sifa zote tunazo. oh acha waje
Chagua kama samaki umri wenyewe huo
evelyn double-agent, na wewe una umri gani kwani?
Under 18...
Under 18...
Aisee unajua nini?
Najitokeza kwenye uwanja huu nami kuweka tangazo langu la kumsaka mwenza wa maisha. Kwa wale tu wenye dhamira ya dhati ya uhitaji naomba mni-pm.
Sifa za mke nimtakaye ni:-
1. Mkristo
2. Asiwe mnene
3. Rangi yake asiwe mweusi
4. Umri usizidi miaka 28.
Mm si mnene, ni mweusi na kimo cha kati. Nina umri wa miaka 35, mengine tutaongea kwenye pm.
Karibuni sana naomba kuwasilisha.
mbona huwa anasound very aged?
Wakati mchanga wa muungano unamwagwa baharini nilikuwepo mwayego....
duuh, wewe kweli ni 'old-skull' :hail:
ze sugar mummy....