Naishi Mwanza kikazi, nina elimu ya chuo kikuu na umri wangu ni miaka 30. Nahitaji msichana mwembamba, mwenye weupe wa asili na asiye mrefu sana, umri wake uczidi miaka 25 pia asiwe na mtoto. Mwenye sifa hizo anakaribishwa pliiiiiiz, sichagui kabila, dini wala kiwango cha elimu, jambo kubwa awe na heshima na upendo wa dhati. Thanx!
upo mwanza sehemu gani?
kwani ww unamtaka wa Mwanza sehemu gani?
...mapenzi ya dhati yaliondoka na mafuliko ya mvua za elnino 1991...