N nyumba nampoka Member Joined Jun 4, 2016 Posts 35 Reaction score 9 Sep 30, 2017 #1 Habar zenyuuuu wadau shida nijuwe mkowa unaotengeneza mofuko ya viroba?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,673 Sep 30, 2017 #2 Kwa hiyo wewe ndio unafungia maiti na kuzitupa Baharini?
N nyumba nampoka Member Joined Jun 4, 2016 Posts 35 Reaction score 9 Sep 30, 2017 Thread starter #3 Mwifwa said: Kwa hiyo wewe ndio unafungia maiti na kuzitupa Baharini? Click to expand... Weeeee.....ishia apo ivyo Mimi nataka kuitwa team wasiojulikana.shida angu nataka kupaki mazao ivyo naviitaji kwa wingiiiii........upoo??????
Mwifwa said: Kwa hiyo wewe ndio unafungia maiti na kuzitupa Baharini? Click to expand... Weeeee.....ishia apo ivyo Mimi nataka kuitwa team wasiojulikana.shida angu nataka kupaki mazao ivyo naviitaji kwa wingiiiii........upoo??????
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,673 Sep 30, 2017 #4 nyumba nampoka said: Weeeee.....ishia apo ivyo Mimi nataka kuitwa team wasiojulikana.shida angu nataka kupaki mazao ivyo naviitaji kwa wingiiiii........upoo?????? Click to expand... Hahahahahahaaa Hata kwenye mazao wapo wasiojulikana. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
nyumba nampoka said: Weeeee.....ishia apo ivyo Mimi nataka kuitwa team wasiojulikana.shida angu nataka kupaki mazao ivyo naviitaji kwa wingiiiii........upoo?????? Click to expand... Hahahahahahaaa Hata kwenye mazao wapo wasiojulikana. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,093 Sep 30, 2017 #5 Nenda coco beach nafikiri utapata ya bure[emoji23][emoji23][emoji23]