willetraveller Member Joined Dec 17, 2015 Posts 12 Reaction score 2 Jan 17, 2018 #1 Nahitaji mifuko ya salfeti kuanzia kilo 1,2 na 5kg. Kwa mtu anayetengeneza na kuweka logo tafadhali tuwasiliane ama hata kama unamjuwa anayefanya iyo kazi nisaidie tuu. check sample ya mfuko hapo katika picha. Attachments 2018-01-17-PHOTO-00041893.jpg 14.8 KB · Views: 35
Nahitaji mifuko ya salfeti kuanzia kilo 1,2 na 5kg. Kwa mtu anayetengeneza na kuweka logo tafadhali tuwasiliane ama hata kama unamjuwa anayefanya iyo kazi nisaidie tuu. check sample ya mfuko hapo katika picha.
Papaa Kinyani JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 1,457 Reaction score 699 Jan 17, 2018 #2 Upo mkoa gani?
willetraveller Member Joined Dec 17, 2015 Posts 12 Reaction score 2 Jan 18, 2018 Thread starter #3 Papaa Kinyani said: Upo mkoa gani? Click to expand... Dar es salaam