NAHITAJI MICROSOFT OFFICE 2007, 2013,2010

Uko wapi? Ni Office 365 ya mwaka 2016
 
Kama una kifurushi tuma internet explorer usitumie browser zingine Halafu andika Microsoft office 2007 au 2003 ukimalizia neno get into PC lakini kwa ufanisi zaidi uwe na registered IDM japo yenyewe Internet explorer inaweza kudownload. Angalizo uwe sehemu yenye umeme wa uhakika maana utaanza upya japo IDM itaweza ku resume endapo uli pose Wewe mwenyewe!
 
internet explorer kweli?,mkuu hongera sana aisee maana mpaka leo unatumia IE,.
hebu download Google chrome au firefox utanishukuru baadae....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…