nahitaji mfanyakazi wa ndani

nahitaji mfanyakazi wa ndani

msalikojr

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
6
Reaction score
0
natafuta mfanya kazi wa ndani,naishi arusha awe wa kike umri kuanzia miaka 16 na kuendelea,,mshahara ni maelewano kazi zake kuu ni usafi wa nyumba na vyombo,,kufua.mtoto aliepo ni mwenye umri wa miaka 8 na anasoma darasa la pili,,kwa yyt alie nae Au anaehitaji atume sms kwenye namba 0787803577
 
Chini ya umri wa miaka 18 kama si wa familia yako ni kosa la jinai!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom