H Hassmak Member Joined Feb 24, 2014 Posts 80 Reaction score 2 Nov 5, 2014 Thread starter #21 promiseme said: mmmm duh bado mdogo sana miaka 20 unataka kuoa mbona unataka kuwapa wazazi wako hakuna ulezi na kujitia stress? soma kwanza wake hawaishi.......... Click to expand... mbona niko stable na najua nini nafanya so let do it
promiseme said: mmmm duh bado mdogo sana miaka 20 unataka kuoa mbona unataka kuwapa wazazi wako hakuna ulezi na kujitia stress? soma kwanza wake hawaishi.......... Click to expand... mbona niko stable na najua nini nafanya so let do it
H Hassmak Member Joined Feb 24, 2014 Posts 80 Reaction score 2 Nov 5, 2014 Thread starter #22 mbona me sina tatzo kama yupo alo tayar ani PM Tuongee
H Hassmak Member Joined Feb 24, 2014 Posts 80 Reaction score 2 Nov 5, 2014 Thread starter #23 najua kimeshtua kukwambia sina kazi naish kwa wazee
zunya JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 1,529 Reaction score 1,073 Nov 5, 2014 #24 promiseme said: una miaka mingapi? kabila gani? unaishi kwa baba na mama au kwako? nyumba yako au umepanga? unamtoto wa nje au uliwahi kuoa? unafanya kazi wapi? nijibu hayo machache tafadhali? Click to expand... "Dhambi ya ubaguzi haitakuisha kamwe.. Leo utamuuliza kabila kesh6 utamuuliza rangi yake.." Mwl JK Nyerere
promiseme said: una miaka mingapi? kabila gani? unaishi kwa baba na mama au kwako? nyumba yako au umepanga? unamtoto wa nje au uliwahi kuoa? unafanya kazi wapi? nijibu hayo machache tafadhali? Click to expand... "Dhambi ya ubaguzi haitakuisha kamwe.. Leo utamuuliza kabila kesh6 utamuuliza rangi yake.." Mwl JK Nyerere
H Hassmak Member Joined Feb 24, 2014 Posts 80 Reaction score 2 Nov 5, 2014 Thread starter #25 luckyline said: kwann anakuchunia? wenda huna care na mengine ndo maana au elezea tatizo ni nn? Click to expand... hujanielewa alikuwa rafik yang wakawaida nilipomwambia tu kanichunia nikimuuliza tatzo hajibu so ni shamsamehe
luckyline said: kwann anakuchunia? wenda huna care na mengine ndo maana au elezea tatizo ni nn? Click to expand... hujanielewa alikuwa rafik yang wakawaida nilipomwambia tu kanichunia nikimuuliza tatzo hajibu so ni shamsamehe
Bableyy Member Joined Aug 4, 2014 Posts 72 Reaction score 26 Nov 10, 2014 #26 Poleee xnaaa mdau, utapata tuu kaza buti