Nahitaji mchumba

KingDenis

Senior Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
183
Reaction score
77
Natafuta mchumba, awe maeneo ya mbeya umri 20-23, dini awe mkristo hayo muhimu mengine hayo ziada mwasiliano 0675575597
 
Unaweza kuta huyu ni mwanaume!! Anaandika uzi wenye utata.
 
Natafuta mchumba, awe maeneo ya mbeya umri 20-23, dini awe mkristo hayo muhimu mengine hayo ziada mwasiliano 0675575597
ngoja waje waje wakina Tuntufye afu kumbe we ni me ndipo utaisoma namb si ungewaambia waje pm kuliko kuweka mawasiliano yako public
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…