Habari wapendwa,
Najitokeza pia leo katika jukwaa hili nikihitaji mwanamke wa kuwa nae katika ndoa. Nina miaka 31, nina mtoto mmoja miaka minne. Elimu yangu ni chuo kikuu. Mwanamke ninaemhitaji angalau awe na sifa zifuatazo:
1. Mzuri
2.mkristo
3.awe ameajiriwa/amejiajiri
4.miaka 25-28