Nahitaji mbwa

Nath81

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
32
Reaction score
2
Habari zenu,nahitaji mbwa iwe German sherphad au Bull dog..Kama Yuko full trained nashukuru na vile vile Kama bado poa..
 
Uko tayali mkwanja ....800 $ full trained German Sherfard
 
anastahili kupewa lugha chafu, kwani alishataja aina ya mbwa anaowataka.
 
nafikiri watu wa moshi wanaweza kukusaidia zaidi maana kuna sehemu pale karibu na machine tools wanafanya hii shuhuli ya kuzalisha hawa mbwa na kuwatrain
 
we mwenyewe una akilini Kama hao Koko wa katoka iringa..

hali ya dharau imechangiwa kwa kiasi kikubwa na kutojuana humu jamvini,ingekuwa uraiani ningeshakumwaga cerebelum we kenge au ningekuvunja mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…