Uko tayali mkwanja ....800 $ full trained German Sherfard
Mkuu hakukuwa na haja kutumia hii lugha,maana yeye aliuliza,kama hata hao unawahitaji.we mwenyewe una akilini Kama hao Koko wa katoka iringa..
Uko tayali mkwanja ....800 $ full trained German Sherfard
Ana umri gani
we mwenyewe una akilini Kama hao Koko wa katoka iringa..
Mkuu hakukuwa na haja kutumia hii lugha,maana yeye aliuliza,kama hata hao unawahitaji.
ah!acha tu ndugu yangu hao wanaojua kuongea waongee
Sasa kama hujui ongea kimekuleta nn huku?Ziba domo hilo