Kuna tofauti gani kati ya mbaazi za Arusha na mbaazi za mikoa mingine kama Morogoro?Nahitaji mbaazi za Arusha , nanua kilo 600
Tifauti yake inaletwa na nini, mbegu au mazingira tu? Msaada tafadhari...Zile za Lindi na arusha zimetofautiana boss
Zile za arusha wanaziita grade 1
Mtu kishatoa namba kama una mzigo mnyanyulie waya ufanye biashara, tena unaanza kumuita boss inbox tehBabati pia kuna mbaazi, tena hizo grade 1 unazosema. Kama utahitaji nitafute inbox