Nahitaji mbaazi

Nahitaji mbaazi

qmansome

Senior Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
108
Reaction score
44
Nahitaji mbaazi kwa wingi nipo Dar es Salaam, kwa wauzaji serious wanitafute 0714007173
 
Nahitaji mbaazi za Arusha , nanua kilo 600
 
Nenda lindi utagombewa kilo sh 200 Hazina wateja
 
Kama hamna link ya wasafirishaji naweza kuwasaidia anasafirisha shilling 60 kwa kilo kutokea Arusha mpk sehem mzigo unapofika, lkn anachukua mzigo kuanzia tani 10
 
Na wew ikifika utachuku tani kumi yote
 
Kama hamna link ya wasafirishaji naweza kuwasaidia anasafirisha shilling 60 kwa kilo kutokea Arusha mpk sehem mzigo unapofika, lkn anachukua mzigo kuanzia tani 10
Hiyo 60 kuanzia arusha mjini au popote ndani ya mkoa wa arusha kwa maana ya karatu n.k maana ndo kwenye mbaazi mkuu na si mjini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom